wa mawartotoKatika kuhakikisha ufanisi wa utekelezaji wa Mwongozo huu, Wizara inahimiza Wadau wote wa masuala ya ulinzi na usalama wa Watoto katika ngazi mbalimbali kuutumia MwongozoUlinzi wa watoto ni kuzuia na kukabiliana na dhuluma, kutelekezwa, unyonyaji, na ukatili dhidi ya watoto wakati wa dharura unaosababishwa na majanga ya asili au ya mwanadamu, mizozo,